Gulio Blog JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,056 Reaction score 4,124 Aug 22, 2023 #1 Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,666 Aug 22, 2023 #2 Kila la kheri
Cr wa familia JF-Expert Member Joined Jun 18, 2023 Posts 1,064 Reaction score 1,453 Aug 22, 2023 #3 Mungu akutangulie
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,713 Reaction score 94,677 Aug 22, 2023 #4 All The Best Mkuu.
Sasso JF-Expert Member Joined Aug 9, 2023 Posts 825 Reaction score 3,073 Aug 22, 2023 #5 Mke hatafutwi. Mke unakutana naye kwenye mazingira uliyopo then kila kitu kinanzia humo humo. Kila la kheri mkuu
Mke hatafutwi. Mke unakutana naye kwenye mazingira uliyopo then kila kitu kinanzia humo humo. Kila la kheri mkuu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,939 Reaction score 61,733 Aug 22, 2023 #6 Ungesema Afisa wa bank, wangekuja mbio pm 😀 😀 hawa viumbe wanapenda kuambiwa uongo.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,943 Reaction score 54,001 Aug 22, 2023 #7 Kila la heri
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,582 Aug 22, 2023 #8 22-25Years Na Imani Wanamalizia Chuo.