Ukweli ni kwamba idadi ya bikira imepungua sana siku hizi kulinganisha na zamani... baadhi ya sababu ni malezi ya wazazi wenyewe kutokufuata maadili, utandawazi unaowafanya mabinti wawe huru kufanya watakavyo...kuiga na kufanya mambo bila kufikiri.... waulize wanaooa sasa hivi kama wako wanaokutana na bikira naamini asilimia 99%99 wanakuta mambo yalishaharibika siku nyingiiiii...
Hii comment yakoo 2013 wanaume walipoona wakajua huyu kungwi