😂Mke mwema anapatikana jf. All the best mkuu
Yaani mtumishi wa umma huko mtaani kwenu hujaona mwanamke wa kuoa uje umtafute JF? Hapa hakuna kama wewe ni domo zege shauri yako! Hapa utakutana na ma Miss Natafuta ndiyo utajuta!Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
Naona jopo la mabraza limekaa kikao cha dharura kumshauri dogo na kumpa za uso kabla hajaendelea na safari yake ya kutafuta wa ubavu wake😅Yaani mtumishi wa umma huko mtaani kwenu hujaona mwanamke wa kuoa uje umtafute JF? Hapa hakuna kama wewe ni domo zege shauri yako! Hapa utakutana na ma Miss Natafuta ndiyo utajuta!
Miss Natafuta umetajwa hukuYaani mtumishi wa umma huko mtaani kwenu hujaona mwanamke wa kuoa uje umtafute JF? Hapa hakuna kama wewe ni domo zege shauri yako! Hapa utakutana na ma Miss Natafuta ndiyo utajuta!
Mpaka anazeeka hajawahi kumpata!Miss Natafuta umetajwa huku
Sijampata naniMpaka anazeeka hajawahi kumpata!
Utani tu mdogo wangu!Sijampata nani
Acha kushoboka dogo .unajua id yangu .ni ya lini?Yaani mtumishi wa umma huko mtaani kwenu hujaona mwanamke wa kuoa uje umtafute JF? Hapa hakuna kama wewe ni domo zege shauri yako! Hapa utakutana na ma Miss Natafuta ndiyo utajuta!
Kupata mwanamke kama Mimi kwanza mwambie atasubiria sanaUtani tu mdogo wangu!
Eti kanatafuta mke mtandaoni? Kapumbavu haka!Kupata mwanamke kama Mimi kwanza mwambie atasubiria sana