Natafuta mke wa kuoa 25-30

Natafuta mke wa kuoa 25-30

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,100
Reaction score
3,947
nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto
awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli,
mimi na miaka 36 ni mfanya biashara.
 
Ondoa kigezo Cha kutokuwa na mtoto.

Kesho tu mambo yatajipa
 
Single mother wapo ila asie na mtoto na age yako hiyo ,na awe mkristo katulia,
Hapo sitaki dhambi lazima ana shida either tabia au vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom