Huyo anaye jiita Perry hiv Kweli anaakili anadhani watu wanayapenda hayo matatizo? Kaka unajiona upo salama kumbe Li mkelako jamaa wanalipiga miti alafu unajiona ipo salama k u m. A. wewe.
nahisi na wewe ni mwathirika wa ukimwi kama mleta mada.
nahisi na wewe ni mwathirika wa ukimwi kama mleta mada.
Mimi ninaishi na vvu nimetengana mke wangu baada ya kugundua kuwa mimi ni mwadhirika hali yangu ni mzuri huwezi kunitambua kwa macho na ninatumia arv kwahiyo natafuta mwenzangu anu PM awe katika hali nzuri.
Kufa mwenyewe ebu.
Huyo anaesema "kufa mwenyewe"nahisi kavurugwaaa tena tigooo yake imevurugwaaaaaa
Huna ndugu zako walioathirikaa,??
Wewe umepima???
Hufanyi ngono???
Kumbuka Ukimwi haubagui ukila chaka unakutana nao tena tema chini na muogope aliekuumbaaa
Mdomo mchafuuu kama brashi ya kudekia vyoo vyaa Tabora boyssss
Kufa mwenyewe ebu.
Kwani kakwambia kalazwaa au yupo hoi,kiswahili kigumu kwelii
nahisi na wewe ni mwathirika wa ukimwi kama mleta mada.
Utapata mkuu wa kufanana nawe,vp wife uliyetengana nae ni -ve?
kwa roho yako nzuri yakutousambaza Mungu atakuponya ukimuamin maana hamna linaroshindikana kwake hakuna ugonjwa asiouponya kama kweli unamuamin call me 0686399397,kuna mtumishi kawaombea watu wamepona nawe Mungu atakuponya nautashuudia others
Kufa mwenyewe ebu.
Hivi wewe siye Marehemu anayetembea?!bora umejitambua kuwa wewe ni marehemu unayetembea
Inaelekea wewe Perry, utakuwa ni mental case, ambaye unapaswa ukimbizwe haraka Mirembe hospital, ili utibiwe huo "uchizi' unaokusumbua!nahisi na wewe ni mwathirika wa ukimwi kama mleta mada.
Yeye bahati nzuri ni mzima na tulipata mtoto, uzuri mke wangu alikubali tatizo langu tuliishi vizuri tatizo lilikuja baada ya mama mkwe pamoja na ndugu zake kujua tatizo langu yani alitoka kwa shinikizo hasa la mama yake. Alitoka kwa mbinde yani.
Ni kama mwaka mmojaPole sana. Akinamama Wakwe nao! Ndoa kadhaa zimeharibika kwa sababu yao, wanapenda sana kutawala watotog wao wa kike. Je, imepita miaka mingapi tangu hayo yatokee?