Natafuta mke mwenye VVU

Natafuta mke mwenye VVU

Kijava

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6
Reaction score
4
Mimi ninaishi na vvu nimetengana mke wangu baada ya kugundua kuwa mimi ni mwadhirika hali yangu ni mzuri huwezi kunitambua kwa macho na ninatumia arv kwahiyo natafuta mwenzangu anu PM awe katika hali nzuri.
 
Una umri gani je mkeo hana na mlipata watt?
 
Kufa mwenyewe ebu.

Unadhani utaishi milele??jaribu kua mstaarabu hakuna ulazima wa kuchangia km hauwezi kumpa ushauri. Kijava naamini kila kitu kinawezekana bado ipo nafasi kumpata mke mwenye hali km yako ila mpate pia ushauri wa wataalamu maana nasikia virusi vikiwa tofauti ni tatizo pia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, hayo ni majaribu tu, je mkeo alipima akakutwa -ve?, ni-PM dawa ninayo.
 
pole kakayngu...hyo yote ni maisha..na magonjwa tumewekewa binadamu sio wanyama...mungu akusikie hitaji la moyo wako akupe mke mwema mtakayeishi kwa upendona amani..kwani naamini mnaweza hata kupata watoto wasio na viambukizi...binafsi nimependa sana ulivyojitambulisha kuliko wanaojifanya wazima huku wanaambukiza wenzao kwa makusudi....mungu akubalik sana..
 
Pole mwaya na afadhali umekua muwazi maana hutaki kuambukizaaa wenginee
Usijali watakupm maana wengine hawatotaka tujueeee
 
Kufa mwenyewe ebu.

Wewe ni unwise person na wala watu hawapaswi kukusikiliza kwa lolote utakalo ongea. Watu wanategemea ushauri au kumsaidia katika ombi lake. Nadhani hata mambo yako yatakuwa yahovyo hovyo tu yasiyo na mwelekeo. Nani amekwambia kuwa vvu ni kufa? Angalia usijetangulia wewe na ukawaacha wengi tu wenye hivyo virus.
 
Huyo anaesema "kufa mwenyewe"nahisi kavurugwaaa tena tigooo yake imevurugwaaaaaa

Huna ndugu zako walioathirikaa,??
Wewe umepima???
Hufanyi ngono???
Kumbuka Ukimwi haubagui ukila chaka unakutana nao tena tema chini na muogope aliekuumbaaa
Mdomo mchafuuu kama brashi ya kudekia vyoo vyaa Tabora boyssss
 
Una maanisha mwenye Vina Vikali Usipime? Kila la heri ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom