Natafuta mke mwenye sifa hizi

Natafuta mke mwenye sifa hizi

anha.. umbo awe mrefu maana mie ni mrefu pia.. alaf asiwe BONGE nyanya au mwembamba sana,,, natak awe na CHURA.... angalizo.. CHURA ausike

Vijana wa siku hizi mna changamoto sana. Enzi zetu tulikuwa tuna angalia akili ya mwanamke na siyo hayo makalio. Ila ninyi siku hizi imekuwa ni tofauti.

Hizo chura mnazotaka zina foleni kubwa sana, usidhani umeiona wewe peke yako tu. Penda slim haina competition na ni flexible, easy to carry na ikifyatua inatanuka...!

Napita..!
 
-miaka 22-26
-elimu (siangalii elimu yake)

-kazi (yeyote) aliyejiajiri inafaa sana
-awe amezaa au hajazaa fresh tu hata akiwa na watoto 6 hakuna shaka

-awe ni Raia wa nchi yeyote tofauti na (TZ,KENYA,UGANDA) Ethiopia/rwanda wanapewa kipaumbele
-awe na rangi yeyote ila asiwe mweusi uliozidi kama kunguru

-Dini awe MUISLAM msafi
-mwenye afya nzuri na siha njema

-sura TUTAVUMILIANA

addition point (awe na mwili mzuri sitaki kuchepuka mimi)
Hata akiwa na watoto 6, poa tu

Awe Muislam safi

Au mimi ndio sielewi?
 
Vijana wa siku hizi mna changamoto sana. Enzi zetu tulikuwa tuna angalia akili ya mwanamke na siyo hayo makalio. Ila ninyi siku hizi imekuwa ni tofauti.

Hizo chura mnazotaka zina foleni kubwa sana, usidhani umeiona wewe peke yako tu. Penda slim haina competition na ni flexible, easy to carry na ikifyatua inatanuka...!

Napita..!
yah.. tatizo sitaki nioe mtu alafu nianze kuwa na michepuko nje...
 
yah.. tatizo sitaki nioe mtu alafu nianze kuwa na michepuko nje...

Kwa mantiki hiyo unadhania kwamba ukimpata huyo mwenye chura hutachepuka? Mambo hayako hivyo kijana.

Kuchepuka inasababishwa na vitu vingi sana, wajuvi watakuja kukudadavulia. Pambana..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom