Natafuta mke mwenye sifa hizi

Natafuta mke mwenye sifa hizi

Pilot_In_Command

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
2,507
Reaction score
3,459
-miaka 22-26
-elimu (siangalii elimu yake)

-kazi (yeyote) aliyejiajiri inafaa sana
-awe amezaa au hajazaa fresh tu hata akiwa na watoto 6 hakuna shaka

-awe ni Raia wa nchi yeyote tofauti na (TZ,KENYA,UGANDA) Ethiopia/rwanda wanapewa kipaumbele
-awe na rangi yeyote ila asiwe mweusi uliozidi kama kunguru

-Dini awe MUISLAM msafi
-mwenye afya nzuri na siha njema

-sura TUTAVUMILIANA

addition point (awe na mwili mzuri sitaki kuchepuka mimi)
 
Bora uwe mkweli, sio uoe yeyote baadae uanze kusumbua wake za wenzio... Madalali tunaruhusiwa kukutafutia mke?
ruksa.. ila wasitoke nje ya hizo sifa hapo juu na kama unazo hata wewe sio mbaya tuka negotiate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom