miss IQ
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 847
- 1,200
Chura presence is direct proportional to uwingi wa akili [emoji3]...mbaya ni kuwa akili ni nywele kila moja ana zakeVijana wa siku hizi mna changamoto sana. Enzi zetu tulikuwa tuna angalia akili ya mwanamke na siyo hayo makalio. Ila ninyi siku hizi imekuwa ni tofauti.
Hizo chura mnazotaka zina foleni kubwa sana, usidhani umeiona wewe peke yako tu. Penda slim haina competition na ni flexible, easy to carry na ikifyatua inatanuka...!
Napita..!