Natafuta mke mwenye sifa hizi

Natafuta mke mwenye sifa hizi

-miaka 22-26
-elimu (siangalii elimu yake)

-kazi (yeyote) aliyejiajiri inafaa sana
-awe amezaa au hajazaa fresh tu hata akiwa na watoto 6 hakuna shaka

-awe ni Raia wa nchi yeyote tofauti na (TZ,KENYA,UGANDA) Ethiopia/rwanda wanapewa kipaumbele
-awe na rangi yeyote ila asiwe mweusi uliozidi kama kunguru

-Dini awe MUISLAM msafi
-mwenye afya nzuri na siha njema

-sura TUTAVUMILIANA

addition point (awe na mwili mzuri sitaki kuchepuka mimi)
Yule mwanariadha wa south anahusika
 
semenya.jpg


Daah kaka umenichoka kweli.. hili si DUME unanitakia mema kweli
 
Kila la heri mkuu Mungu akufanyie wepesi wako huna masharti magumu masikini
Khaaa hilo la chura sio gumu Shunie, au vile mwenzetu umejaaliwa kuwa nayo[emoji12] [emoji12]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom