Natafuta mke mwenye sifa hizi

Natafuta mke mwenye sifa hizi

Piga simu
IMG_3850.JPG
-miaka 22-26
-elimu (siangalii elimu yake)

-kazi (yeyote) aliyejiajiri inafaa sana
-awe amezaa au hajazaa fresh tu hata akiwa na watoto 6 hakuna shaka

-awe ni Raia wa nchi yeyote tofauti na (TZ,KENYA,UGANDA) Ethiopia/rwanda wanapewa kipaumbele
-awe na rangi yeyote ila asiwe mweusi uliozidi kama kunguru

-Dini awe MUISLAM msafi
-mwenye afya nzuri na siha njema

-sura TUTAVUMILIANA

addition point (awe na mwili mzuri sitaki kuchepuka mimi)
 
Kweli wadada wakiachia hii bahati ipite hivi hivi wataipata 2030 tena, hata watoto 6 haina noma kabisa na hata sura utavumiliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom