Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,744
- 3,132
Sir God aliumba kila aina ya combination mkuu...Kupata hiyo combination, inabidi umuumbe mwenyewe mkuu
Binti wa miaka 19-24 kujua kucheza draft maana yake iq yake 50% and above. Kitu ambacho ni impossibleAwe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto.
NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
Hahaha ume nikumbusha mbali, eti how to be pure and acquire immortalityMwenzako anatafuta anayejua kucheza chaste.
Sir God aliumba kila aina ya combination mkuu...
unataka kusema wanawake wote wenye miaka 24 kushuka tayari wana watoto na hawajui draft? haya yatakuwa maajabu
dah kweli mkuu ina make sense, solution hapa ni kusubiri nifike hata miaka 36 hivi ili nimpate wa 29 anayejua vyote, wa kumfundisha sitaki nataka anayejua tuchanganye mitego watoto wazaliwe wakiwa mafundiBinti wa miaka 19-24 kujua kucheza draft maana yake iq yake 50% and above. Kitu ambacho ni impossible
Akijua kucheza draft maana yake age ni 29 and above
Akiwa anajua kucheza pooltable possibility ya kuwa na mtoto ni 95%
Akijua kucheza draft na pooltable maana yake ni miaka 29 and above au ni single mother au both
Akiwa na miaka 19-24 alafu hana mtoto possibility kubwa hana akili ya maisha. Automatically na draft atakua ajui labda uanze kumfundisha
Yan umfundishe tege, nugza, samba aache mambo ya tiktok
Sasa rudi tena usome comment yangu #1
mkuu unataka kusema walioweka draft na pool table walileta kitu kisicho na maana yoyote maishani?Hiyo draft na pool table ina saidia nini kwenye maisha?
hapana mkuu niite niipitie kiongozi, hilo limenipitaSmooth Criminal umesoma hukumu ya Mr Blue??
nimeinyaka mkuu, jamaa kahukumiwa kifo na hizi hasira zangu nimeahirisha kutafutaSmooth Criminal umesoma hukumu ya Mr Blue??
asante mkuu...i hope wanajua kucheza draft na pool table pia. ntampata tu😅😅 kwa hiyo age wengi hawajazaa.. Kila la kheri
Hakina maana yeyote.mkuu unataka kusema walioweka draft na pool table walileta kitu kisicho na maana yoyote maishani?
HAo ni wanawake watanokwa mwanamke mmoja wewe izo sifa unazoAwe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto.
NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa