Hivi kuoa lazima uwe na
kazi au mapenzi yanatazama kama una kazi au huna? Hii inaonesha mtazamo
wa watz wengi kuhusu maisha ukoje
mtafanyaje ayo mapenzi usemayo km mnanjaa?wawapi wewe?kashii ukalale.
Hivi kuoa lazima uwe na
kazi au mapenzi yanatazama kama una kazi au huna? Hii inaonesha mtazamo
wa watz wengi kuhusu maisha ukoje
huo utani sasa. huna kazi maana yake ni nini?Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba tuwasiliane kwa email address ifuatayo mnyella@ovi.com
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba tuwasiliane kwa email address ifuatayo mnyella@ovi.com
We tuombe radhi watu tuna heshma zetu sema wanaume wa humu ndo matapeliumewahi kujiuliza kwa nini ID nyingi hapa ni za june mwaka huu na kuendelea?au unafiiri wote wageni?Midada ya humu ni minunda sana na kila mtu anaetafuta mchumba lazima atoe maelezo wewe ni nani bwana.Sasa, wenzako wengi wamewapata na nakueleza ya kuwa dada aliye siriaz na kuolewa lazima atawasiliana na wewe sio humu ila kwenye mawasiliano uliyotoa. Achana na midada ya humu haina lolote.
Very interesting. Of all the things ukaona umri na employment status ndio muhimu kushout!
Najua you are not serious, au unafanya utafiti. Nasubiri findings kwa hamu!
You real made my day. Khah!
Miss independent asiyependa kuwa depended upon! Mzima wewe? Umepotea?