niPM bas mremboz
Hahaha. Hata ningekuwa single ningeshafeli asubuhi. Nyanya chungu, bamia, mihogo, haipandi.Dona na viazi vitamu napenda.
hapa ninahisi hata huyo mke atapaka lotion ya asili yenu.parachichi nazi mafuta ya simba kama zile kabila zenye harufu moja tu ya utambulisho ambayo hata wanyama wanaijua. mabinti wa leo humpati mtu kwa vyakula hivyo mkuu kivipika pia hawajui ilikua zamani sana hiyo
0oo bebi,,
kuchi kuchi hotahe beibee,,,,,,,,,
kwi, kwi, kwii,,!!
Mbona Ngoyayi hanukii ivoo?
acheni wivu wa ....
sijawahi kula bagga wala pizza hivi zina ladha gani nilikula soseji kwa kulazimishwa kwa hiari yangu nisingezila ambaye anajua ladha yake tafadhali kama ni tamu kuliko kitumbua