Natafuta mke anayependelea dona na vyakula asili

Natafuta mke anayependelea dona na vyakula asili

Shukuru ndugu hujazila kwa kawa zinanenepesha na kuleta maradhi tuu , wengine tunakula kwa sababu hatuna alternative ways kwa busy ratiba sometimes . Ndugu endelea tuu kula chakula halisi dear Kwani hivyo ni vya ukweli. Thanks!

kumbe ....!!!
 
Wallah,dada yangu ungempata.Ila uandishi wako sijaupenda.Kwa nini hutumii uandishi wa mtu anayetaka kuoa?
 
Menu ya leo
Dona lainiiiii+mnavu wa nazi+mlenda ulochanganywa na ngogwe zile chuuuuuungu+maziwa mgando...
Napenda sana vitu vya asili
 
Shukuru ndugu hujazila kwa kawa zinanenepesha na kuleta maradhi tuu , wengine tunakula kwa sababu hatuna alternative ways kwa busy ratiba sometimes . Ndugu endelea tuu kula chakula halisi dear Kwani hivyo ni vya ukweli. Thanks!

we mdada, upogo? mzima? kitambo sana. nimekumiss
 
Me ni mpenzi wa dona na vyakula vya asili sana, vicvyo kaangwa,
mabagga, masoseji na maartificial yote kwang co upendeleo sana

sifa zngne awe mwembamba na acwe mfupi

tuwacliane pm kwa mapicha na makila kitu

mim napenda ila muda wa kukupikia sitokuwa nao. vipi naqualify!??
 
Dona ndiyo mpango mzima! Toka nijizoeshe kula hili kitu nimekuwa kama teja. Kwa sasa wenyeji wangu wanaonifahamu huwa hata hawahangaiki kunikaribisha wakiwa wanakula "sembe" lao!
 
Ahaaaahaaaah jmn by ushaur kule kjjn kwenu wapo weng tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom