Natafuta mkaa wa bila miti

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,348
2,051
Habari zenu wakuu.
Ninahitaji mkaa wa kupikia kiasi kikubwa kuanzia gunia sita kwa mwezi.Mkaa ninauhitaji ni ule uliotengenezwa kwa maranda ya mbao au material mengine makavu, maadamu usitumie miti.


Namba: 0713-039875
 
Mkuu nitafute week ijayo nikuuzie namaliza kukausha

0718112243
 
Back
Top Bottom