Natafuta mizigo ya gold dusts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mizigo ya gold dusts

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Somi, Jan 30, 2010.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yoyote anayeuza au anayehusika kwa namna yoyote katika biashara ya dhahabu chafu isiyosafishwa haswa haswa vumbi la dhahabu(gold dust) awasiliane na mimi, Ninaye partner wangu mmiliki wa kampuni ya kimataifa anahitaji kununua kuanzia kilo 2 na zaidi.Yupo tayari kuweka mkataba wa muda mrefu wa manunuzi.
  Kwa mawasiliano na mimi tuma email: somigroup@yahoo.com
   
Loading...