Natafuta mini silent generator

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu heshima mbele!natafuta generator ndogo kwa matumizi ya nyumbani,manake huu mgao wa umeme ishakua taabu!kwa sisi tuanoishi huku maporini unaweza kumkanyaga nyoka akakugonga bure,gharama zikawa kubwa kujitibia kuliko za kunulia generator. Kwa hiyo yeyote anayeuza naomba anijulishe bei ili nijipange.naomba kuwasilisha
 
Naomba kudandia hapa.

Mimi natafuta Inventa, nimeambiwa zinaweza kugenerate umeme bila kutumia mafuta na hazina KELELE

Mwenye taarifa please
 
Naomba kudandia hapa.

Mimi natafuta Inventa, nimeambiwa zinaweza kugenerate umeme bila kutumia mafuta na hazina KELELE

Mwenye taarifa please

Kuna jamaa mmoja anaduka K'Koo anauza inverter nikipata business card yake nitakupatia namba yake ila yupo juu kama 1m point flani hivi.
 
kuna dogo anatengeneza inverter kwa matakwa yako,up to 3kv (3000 watts)inverter.if you are interested pm me your number yeye atakupigia
 
AK 47,

Vp hiyo ya kwake ina capacity gani? Nahitaji kwa ajili ya kuwasha kila kitu nyumbani ikiwezekana pamoja na pasi nimechoka kuvaa jeans ofisini

Mkuu Newattitude nakutumia namba muda si mrefu
 
Naomba kudandia hapa.

Mimi natafuta Inventa, nimeambiwa zinaweza kugenerate umeme bila kutumia mafuta na hazina KELELE

Mwenye taarifa please

inverter inagenerate umeme? kazi ya inverter ni kuconvert umeme kutoka DC kwenda AC ili uweze kutumika kwa vifaa kama TV, Computer nk! wanaunganisha na batteries kama source.
 
Thanks kwa kueleweshana vya kutosha,please tufahamishane vzr hiyo inverter inaunganishwa na nini ili kufua umeme huo kama ni battery ni battery zipi.na tofauti na battery yaweza unganishwa na nini ili kufua umeme wa majumbani
 
Inverter haifui umeme! Inabadili mkondo umeme toka direct kwenda alternating....toka DC kuwa AC.....
Sasa ili kutumia inverter inabidi uwe na source ya umeme (mfano ni windmills kwa wind au solar panel kwa solar) pamoja na kihifadhi huo umeme (zatumika betri).....
So it completely useless kujadili inverter kama huna umeme wa wa ku-invert!!!!
 
asante kwa ufahamisho wako.Mi nahitaji battery kavu(dry cell) N100/N70,vipi naweza kupata wapi kwa bei nafuu?
 
Nimemsaidia shemeji yangu a temporary solution. Inverter ya sh 60000. Betry moja N100 anachofanya ile inverter Ina uwezo Wa charge betri wakati Umeme upo. Ukikatika Ina convert Umeme DC to AC
 
Ndugu, unahitaji generator yenye silent canopy ya Kilowatt ngapi?
Pia unataka iwe inawaka automatic na kujizima?
Je unaitaji air condition inayotumia solar pia?
 
Ndugu, unahitaji generator yenye silent canopy ya Kilowatt ngapi?
Pia unataka iwe inawaka automatic na kujizima?
Je unaitaji air condition inayotumia solar pia?

is it a special Air Condition? how does it work?

Na bei yake ikoje?
 
AK 47,

Vp hiyo ya kwake ina capacity gani? Nahitaji kwa ajili ya kuwasha kila kitu nyumbani ikiwezekana pamoja na pasi nimechoka kuvaa jeans ofisini

Mkuu Newattitude nakutumia namba muda si mrefu

Pasi sidhani kama itaweza. Wasiliana nao kwa namba hii +255715303793 ama +255773003793 wapo K/Koo Narung'ombe/ Sikukuu street email ngowinm@yahoo.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom