Natafuta Mganga anisaidie kwa gharama ya Milioni 5

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher!!! Jaman Nimekuja Jamvini Ninahitaj Mganga Wa Kunisaidia Tatizo Langu La Kubashiri Matokeo Ya Mechi!!! Kila Ukibashiri Mechi Kumi Zikikubali Nakupa Milion Tano. Mweny Uwezo Aje PM au 0712988560 Whatsapp
Asanten
 
Bashiri.jpg
 
Jina lako mwenye unajita Mzama Chumvini
Kwa ufupi acha ushirikina,hakuna maisha mepesi,kama Jiji limekushinda rudi busshhh

Mnaambiwa kamari kharam mnaziba maskio,ufukara unakuita.
Hakuna Maisha rahisi namna hiyo,kama una age of 25 and above na unaakili kama hizo,basi jue umeishafeli,hayo ndio yatakuw amaisha yako ya kuhangaika na ku bet,na Biashara hiyo wameletewa wale wajinga wasiojitambua.Mwenye akili hana muda wa kupoteza

Tafuta pesa Halali,huyo Mganga mwenyewe maskini,sasa si angeanza ku bet mwenyewe ili achukue pesa zote mwenyewe?
 
Kama una advance twafanya mambo hadhrani na watu wafuatilie hii huduma Mujarab.
 
Back
Top Bottom