Natafuta mfanyakazi wa ndani aliemaliza form four

Positive

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
95
Reaction score
15
Wakuu,

Natafuta mfanyakazi wa ndani ila awe ni wa kike na amemaliza elimu ya sekondari.

Mshahara ni shillingi za kitanzania laki moja Net.

Atakua anakaa kwangu. Kazi yake kuu ni kusaidia kuhudumia mtoto wa miaka miwili.

Mwenye sifa hizo anipigie 0768 224 007 au atume ujumbe nitampigia

Asanteni

Positive
 
Cjui kama utapata kwa sababu mwaka huu serikali wameamua kuwapeleka wote form five ndo maana wamefuta zero na 3 za 33
 
Unataka elimu ya sekondar au mfamya kazi wa ndani sijakuelewa mkuu
 
Nakuunga mkono,wangu hajasoma kbsaaa basi hata time management inamshinda kila kitu uwe unamwambia hata kama haupo home,inabidi uwe unapiga simu kujua anakuwa na rtb zipi,akisema afue bas mjue hamli siku hiyo,wala hamuhudumii mtoto,akimuhudumia mtoto ujue nyumba haisafishwi siku hiyo,akisafisha nyumba ujue atachelewa shughuli nyingne mfano mapishi !kweli namie nataka aliyemaliza form four
 
hapa ni uelewa wa mtu na wala c elimu kuna watu hata wamemaliza chuo kikuu ukikaa nao unaweza ukalia Hapana kawaida ya kujiongeza
 
Wakuu,

Natafuta mfanyakazi wa ndani ila awe ni wa kike na amemaliza elimu ya sekondari.

Mshahara ni shillingi za kitanzania laki moja Net.

Atakua anakaa kwangu. Kazi yake kuu ni kusaidia kuhudumia mtoto wa miaka miwili.

Mwenye sifa hizo anipigie 0768 224 007 au atume ujumbe nitampigia

Asanteni

Positive

Unatafuta mfanyakazi wa kushinda facebook kutwa kucha?
 
Profesa maji marefu darasa la saba lakini yupo mjengozi anakula 12M per month, hapa anatafutwa form 4 leaver akawe mfanyakazi wa ndani.
Dunia haipo fea kabisa.
 
Back
Top Bottom