Natafuta mfadhili..

sodeely

Senior Member
Oct 3, 2011
184
250
Mimi ni kijana wa kitanzania..nimejaaliwa kuwa na kipaji cha utunzi na uandishi wa riwaya..
Hadi sasa nimeishatunga riwaya nne kali..
Bahati mbaya 2 kuna mtu alijitolea kunisaidia lakini baadae akaingia nazo mitini..
Lakini kwa kuwa kipaji ninacho nimeandika zingine nzuri..
Naomba kama kuna mtu anahitaji kunisaidia kuzitengeneza vitabu tuwasiliane kwa no.+255653782825
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,600
0
ooooh, I see. ngoja tuone kama watakuja. ila ningekushauri upange maneno yako vizuuuuri, uanzishe thread kule jukwaa la biashara.
 
Mrdash1

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,378
0
Mimi ni kijana wa kitanzania..nimejaaliwa kuwa na kipaji cha utunzi na uandishi wa riwaya..
Hadi sasa nimeishatunga riwaya nne kali..
Bahati mbaya 2 kuna mtu alijitolea kunisaidia lakini baadae akaingia nazo mitini..
Lakini kwa kuwa kipaji ninacho nimeandika zingine nzuri..
Naomba kama kuna mtu anahitaji kunisaidia kuzitengeneza vitabu tuwasiliane kwa no.+255653782825

Hivi sisi watanzania ndo tumekuwa watu wa kufadhiliwa kila kitu. Mbona itafika wakati wanaume tutatafuta wafadhili wa kuwatia mimba wake zetu???? Mfadhili wa kwanza ni akili yako mwenyewe bro, huwezi kuandika riwaya bila kuwa na business plan kama unategemea mapato kutokana na riwaya zako. Je umefanya utafiti wowote kujua vitabu vinaandikwaje? Je unategemea kuutengeneza vitabu vingapi na unatarajia kuuza kwa bei gani na unategemea kupata kiasi gani?
Mimi napata uchungu sana na ujinga wa watanzania wenzangu, sijui tumemkosea nini Mungu hadi tusitahili umbumbumbu huu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom