Natafuta mfadhili wa kunifadhili

Dec 17, 2015
41
4
Kwa jina natambulika kwa jina la Juliano Norman,ni mkazi wa Newala katika kijiji cha Nambunga ni yatima niloachwa na ndugu zangu wakati nataka kusoma kidato cha tano lakini uyatima na ukata wa kipato ndio ulonifanya nishndwe kuendelea na masomo.

Kwa yeyote atakayekuwa tayari kunifadhili kibiashara,masomo au hata kazi ilimradi isiwe kazi haramu,naombeni msaada wenu kwani nawapenda ndugu zangu na nahitaji kuwakomboa.

Kwa yeyote atakaeguswa na hili naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0784071259/0715133205
 
Last edited by a moderator:
Huwa hatudanganyi hivyo ndugu yangu. Hii sasa imeshakuwa kama ni fashion sasa, mtu akiona tu baba mwenye nyumba kaja kudai kodi basi anakimbilia jamiiforums kuja kuomba msaada... hatukatai mtu kuomba msaada...sisi wote humu ndani tumepitia hayo huo umri wa miaka 24 sio umri wa kukaa unatembeza bakuli. HUKO KIJIJINI HUNA SHAMBA?
 
Kama unashida kweli tupia uthibitisho...acha masharti
ningeweza fanya hvyo ila tatzo cm yangu haina uwezo wa ku-upload na ndio maana nimeweka mawasiliano ili yeyote atakaeguswa na hili tukiwasiliana tu ndio ntamuonesha uthibitisho
 
Huwa hatudanganyi hivyo ndugu yangu. Hii sasa imeshakuwa kama ni fashion sasa, mtu akiona tu baba mwenye nyumba kaja kudai kodi basi anakimbilia jamiiforums kuja kuomba msaada... hatukatai mtu kuomba msaada...sisi wote humu ndani tumepitia hayo huo umri wa miaka 24 sio umri wa kukaa unatembeza bakuli. HUKO KIJIJINI HUNA SHAMBA?
shamba lipo lakini sio la kudumu na nimelima tayari lakn uzalishaj wake ni wa hal ya kawaida sana kaka angu
 
jamani nieleweke vizuri ninalolisema ni kwel kabsa na yeyote atakaekuwa tayari anitafute tu then uthibitisho atauona na nashangaa sana wakati mwenzenu nina shida hala mtu analeta utani au unafikir me nilipenda niwe hv? acha utani kwel nahitaji msaada
 
Shida yako halafu unasubiri utafutwe..... utasubiri sana.

Mwenye shida angejieleza vyema na kuweka vithibitisho. Hata kwa kuwatumia mods ilikujiridhisha...hapo ungesaidiwa....

Anyway.....endelea kusubiri
 
basi samahani yeyote atakaekuwa tayari aweke utambulisho wake au mawasiliano then me nitamtafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom