Natafuta mdhamini/mfadhili kwa masomo yangu

Mkuu jaribu kutembelea taasisi zipo zinazosomesha watu; mfano World Vision..,

Alafu upo kwenye grade gani Secondary; Primary au High School..., sababu ninajua watu wanajisomesha kwa kupiga debe part time au kuuza karanga..;

Vile vile am sure kama ukienda kwenye taasisi za dini unaposali au unaposwali (msikitini au Kanisani) ukaongea vizuri na masheik au mapadre utafanikiwa tu na watakusomesha.., By the way ni kiasi gani unahitaji
 
who is going to sponsor a person whose english is "im find sponsor"...ha!!!!!!!!
 
asante kwa majibu yako.
 
who is going to sponsor a person whose english is "im find sponsor"...ha!!!!!!!!
Ungana.....english ni lugha tu kama kiswahili,kireno n.k......usimkebei mwenzako kwani kuna mataifa makubwa (eg.China,japan) hiyo english hawaijui....naamini kama umezaliwa tanzania na umetoka familia za kawaida english umejifunzia shule kama mimi...
Ulimbukeni kweli ni shida..............
 
Naaomba uwe makini na ueleze kwa kina hilo suala lako. Unaposema unaomba ufadhili ili urudi shule haieleweki ni shule ya msingi, sekondari, chuo cha kawaida au chuo kikuu.Hata kiingereza ulichotumia kinatia shaka, bora ungetumia lugha ya kiswahili.

Mkuu usemavyo ni kweli. Mtoa mada angeongea kwa kina na ufasaha na kama ikibidi angetumia headline ya kiswahili. Natumaini mtoa mada atarudi na kutueleza kwa kina kuhusu nini, wapi na lini anachotaka kusoma na labda kutajitokeza wasamaria wema wa kumsaidia ktk hali na mali
 
nashukuru wadau wa jukwaa la elimu kwa mchango wenu jamani mimi nilihitimu kidato cha nne 2008 baada ya hapo nikawa nipo mtaani kutokana na matokeo mabaya kwa sasa nimefanya application chuo cha ushirika shinyanga
 
kama watu wenye matokeo mazuri tu wanakosa wafadhili,wewe uliyefel utawapata kwel?ila ucfe moyo ndugu,tafuta tu.
 
nashukuru wadau wa jukwaa la elimu kwa mchango wenu jamani mimi nilihitimu kidato cha nne 2008 baada ya hapo nikawa nipo mtaani kutokana na matokeo mabaya kwa sasa nimefanya application chuo cha ushirika shinyanga

Mkuu umefanya application je umeshapata majibu... ?
Na kiwango kipi kinachotakiwa..?
Na kipindi hiki hakuna shughuli unayofanya ambayo unafanya ambayo unaweza kupata savings za kukusaidia masomo yako ?
Na huko chuoni huwezi ukasoma part time huku unafanya mradi/kazi au biashara ambayo itakusaidia kwenye malipo?

Nadhani hakuna kisichowezekana kama upo determined nina uhakika utafanikiwa
 
taja daraja ulilopata form 4,kama ni zaidi ya daraja la 4 point 28.saau kabisaa swala la msaada.maana vijana siku zote mnashauriwa kuwa msome huku mnawaza hari ya kwenu jinsi umasikini ulivyo kithili lakini mkienda shule mnaunda makundi na kujiita mavampire,genster.mababiloni n.k sasa nenda kawaambie mavampire wenzako wakusaidie!
 
Mkuu kushindwa elimu sio kushindwa maisha.., na huenda ameshindwa kwenye theory lakini vitu practical (hence veta ) huenda ikamfaa.., issue ni kwamba kama chuo cha ushirika moshi kimemkubali basi hakuna neno.., pia anaweza kwenda sehemu kama mature student au akaanza na course ya foundation open university..., kujikwaa sio kuanguka mkuu
 
thanks but tayari nishapata na ada kwa mwaka sh. Laki nane accomodation unajitegemea ndio naenda kuanza certificate
 
nilipata 26 mkuu
 
vizuri mkuu naamini nitasonga mbele na ndoto zangu ni kuwa kiongozi mkubwa tu serikali na kupinga vikali wanafunz wanaoishi maisha magumu
 
thanks but tayari nishapata na ada kwa mwaka sh. Laki nane accomodation unajitegemea ndio naenda kuanza certificate

Kwahiyo ni full time (ambayo inaonyesha itakuwa ngumu kufanya kazi yoyote), na umeshapiga hesabu plus accomodation na chakula itakuwa ni kiasi gani kwa mwaka..?

Na unakwenda kusomea nini mkuu ?
 
procurement mkuu per year nadhani itagharimu sh.1.2 million
 
pole sana ndugu..sina uwezo ningekusaidi kwa mali lakini nitakusaidia kwa hali..usikate tamaa..
 
Mkuu kushindwa elimu sio kushindwa maisha.., na huenda ameshindwa kwenye theory lakini vitu practical (hence veta ) huenda ikamfaa.., issue ni kwamba kama chuo cha ushirika moshi kimemkubali basi hakuna neno.., pia anaweza kwenda sehemu kama mature student au akaanza na course ya foundation open university..., kujikwaa sio kuanguka mkuu

My man voiceofreason nakukubali sana yani..unabusara sana,haukurupuki,huvunji watu moyo bali unawashauri na kueleza ukweli..big up sana kaka! 1 luv
 
Back
Top Bottom