Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
Popote pale wanapotumia dola mkuu
hapo umenimaliza Mkuu maana huku kwetu keko toroli tukiona dola tunadhani ni karatasi za kufungia mandazi,du!
Popote pale wanapotumia dola mkuu
hakuna k2 kinaitwa balance sheet statement
hahaha mkuu huko dawa yenu noti mpya feki...hapo umenimaliza Mkuu maana huku kwetu keko toroli tukiona dola tunadhani ni karatasi za kufungia mandazi,du!