Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

Yaani huyu hata hajui maisha ninini Mungu wangu. embu msaidieni, anyway kama shida ni mtoto anaweza akaenda kuadopt kwenye vituo wako wachanga kibao aache ununda hapa

anataka kurahatupika, jaribu huku, rahatupu.blogsport.com/ teh teh teh, anataka kula tundi, Jitoe muhanga uoe lijulikane moja ili uwe na constant supply!
 
I think u ar not serious n hujui nn unasema jaman mtaa nzma umekosa mpk utafute kwy mtandao pole
 
Watu unafiki jamani. Wengine wana watoto kila kijiji na hawahudumii walishawakana watoto.
Si bora huyu mkweli? Mi watu wanafiki na waongo nawachukia sana.
 
Sometimes nivizuri kuamua hivyo kuliko kuoa na kuixhi na mwanamke paxua kichwa
 
Hawa ndio wenye kuongeza Taifa la single parents
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom