Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

Huku ni kukwepa majukumu kwani ukitaka kuwa baba sharti ukubali majukumu. Majukumu ya mwanaume wa kweli ni kuwa na familia unayoitunza yenye mke na watoto. Elewa ukishazaa na mwanamke hutakwepa kumtunza mtoto na huyu mtoto ni wako daima hivyo kama kuna kitu unakwepa hujue ni ngumu.
 
Define "majanga"
Du hujui Majanga kweli Majanga haya ni Majanga
ni kama hivi
  • wewe huna mbegu za kuzalisha mtoto umtafute mwanamke wa watu aje akutengenezee mtoto
  • wewe umwite wako
  • Mtu kapatwa na msiba michango na rambi rambi ichangishwe wewe uje uichukue
  • Mtu atengeneze wimbo wake (mf Bongo Flava) wewe uje utake kuichezea filamu/Video wimbo huo)
  • Mtu anunue nguo/ gari/ Pikipiki yake kabla hata hajaivaa/kuiendesha wewe uje utake kuianza wewe
naona umeshaelewa maana ya majanga aliyokupa JOJEETA
Unachotakiwa tafuta mwenza wako mpendane km MUNGU alivyosema ndipo utakapopata zao zuri la sivyo utabambikwa hadi ujute na mtoto utakuta si wako hata kwa DNA na utaanza mwingine umri hausubiri

Last edited by a moderator:
mh ww acha papara tulia utampata tu,ni vyema ukawa na mtt ndani ya ndoa kuliko kuzaa hovyo
 
masharti ya waganga wako ni bro? Au ndo freemason
 
kumpata nimpendae kwa dunia ya sasa itanichukua muda. nataka nitimize ndoto yangu ya kupata mtoto mapema hayo ya ndoa yatafuatia. nimelelewa na wazazi wote na mwanangu pia atapata malezi ya pande zote
atapataje mapenzi ya wote wawili wakati wewe utakuwa Mashariki na mtoto magharibi na mama ake,au wakati mtoto atakuwa ndogo utakaa na huyo mama cos hicho ni kipindi cha kumsaidia saaana.au wewe unaangalia kumsaidia mama financially na sio kuwa supportive in a dufferent way.....,
Afu nilidhani kumpata akupendae ndo kazi kumbe tatizo ni wewe kumpenda mtu hapo nahisi kuna tatizo
good luck in your Mission
 
Sidhani kama hii ni sifa muhimu sana ya kuzaa, mi nilidhani utasema lazima awe amevunja ungo nakadhalika

Nahisi hicho kigezo ameweka cos amesema kuna times anaweza kwama financially kwa hiyo huyo aliyezaa nae atahitaji kumsaidia hiko kipindi

Afu mkuu samahani unaweza hivi unaweza kuzaa na mtu ambae hajavunja ungo.......??
 
Aliyekwambia wewe ni damu ya babako ni nani? na Unamwamini?
hahahahhah nilikaa na maproff fulani siku moja nilicheka sana!kaka mmja alichukia nusu kupigana pale walimuuliz tu wewe ni mtoto wa baaba yako?tudhihirishie! aiseee aliulizwa swali kma hilo jama a yule alikasirika sana
 
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.

Ningependa mhusika awe na sifa zifuatazo
1) Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato
2) Dini yeyote, kabila lolote. Ila asiwe extremist
3) awe tayari kuzaa bila kuhusisha mambo ya kuoana.
4) Umri kuanzia miaka 25 mpaka 32.

Terms & Conditions
*** Vipimo vyote vya afya vitachukuliwa ili kujiridhisha kuhusu usalama wetu na wa mtoto wetu pia.
1) Nitagharamia kwa 100% matunzo yote ya mtoto kuanzia mimba, kuzaa mpaka malezi. pale nitakapokwama ndipo atakuwa ananisaidia.
2) Awe tayari kuruhusu vipimo vya DNA in case any doubt arise.
3) Kwenye kadi ya Klinik nitambulike kama baba wa mtoto tangu mwanzoni kabisa
4) No ndoa attached, atakuwa huru kuolewa iwapo atapenda, na mimi pia nitakuwa huru na maisha yangu.
5) mengine tutayajadili kadri muda utakavyoruhusu.

Kuhusu mimi
1) Kijana Mtanzania miaka 26
2) Mpole, mtanashati
3) Mrefu, mwembamba, mweusi
4) Nimeajiriwa na pia ninamiliki biashara zangu
5) Ninataka niweze kupata mtoto mapema

Asanteni na Karibuni
Ray

Inaonekana Hapa unajifikria wewe mwenyewe tu.
That is selffishness.
Ndio maana sisi waafrika hatuendelei. Kila mtu anajifikiriria mwenyewe na starehe zake na tumbo lake. Uwezo na hela si kitu ndugu yangu, je mapenzi ya ulezi uko wapi? well ndio utampenda sana huyo mtot lakini si sawa na mtot aliye zaliwa katika family yenye mapenzi ya baba na mama. Ebu jaribu kujiweka katika hali hiyo mwenyewe utakua na raha gani (ingawa sijui ulikilia katika maisha gani)
Bado una muda mzuri wa kumpata mpenzi wako, mka funga ndoa na mkaishi maisha mazuri, Unaogopa kua hutampata msichana wa kumpenda, Hakuna mtu anaye jua hilo, bali ni akili yako na roho yako na tabia zako zitakzo ku lead kwenye uhusiano mzuri.
Ingekua ni mimi afadhali ninge adopt kwa sababu huyo mtoto amesha poteza wazazi na hana mapenzi ya wazazi kabisa na aiksha kua mkubwa haita kua na sasa na yule uliemzaa kawa sababu ulitaka tu mtoto mapema.
Ninge kusharu take one year or two kukutana na mabinti tofauti na usiwa ahidi kitu chochote na usianzishe uhisiano wa kimapenza mapema. jaribu kua nao kimarafiki, jaribu kuwasikiliza ujue their goals na mipango yao ya maisha, hobbies zao.
Good luck my friend and take care
 
l.jpg
 
Tatizo ni kumpata mwanamke mwenye vigezo vyote vya kuwa mke, huko mbeleni nikimpata basi tutaoana.
Wewe huna hata kigezo kimoja cha kuwa Mume, sasa utapata vipi Mwanamke mwenye vigezo hivyo?

Unasumbuliwa na stress nenda kwa wataalam wa saikolojia watakusaidia.
 
kumpata nimpendae kwa dunia ya sasa itanichukua muda. nataka nitimize ndoto yangu ya kupata mtoto mapema hayo ya ndoa yatafuatia. nimelelewa na wazazi wote na mwanangu pia atapata malezi ya pande zote

Hawezi pata malezi mazuri.. problem kubwa ni kwamba hujui unayezaa nae ni nani,ana tabia gani na kwanini akubali??? Hakuna mwanamke we design iyo ya kuja kukupa nyapu yake bure,alaf abebe mimba bure mienzi tisa na azae bure.. Kwani we nani??
 
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.

Ningependa mhusika awe na sifa zifuatazo
1) Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato
2) Dini yeyote, kabila lolote. Ila asiwe extremist
3) awe tayari kuzaa bila kuhusisha mambo ya kuoana.
4) Umri kuanzia miaka 25 mpaka 32.

Terms & Conditions
*** Vipimo vyote vya afya vitachukuliwa ili kujiridhisha kuhusu usalama wetu na wa mtoto wetu pia.
1) Nitagharamia kwa 100% matunzo yote ya mtoto kuanzia mimba, kuzaa mpaka malezi. pale nitakapokwama ndipo atakuwa ananisaidia.
2) Awe tayari kuruhusu vipimo vya DNA in case any doubt arise.
3) Kwenye kadi ya Klinik nitambulike kama baba wa mtoto tangu mwanzoni kabisa
4) No ndoa attached, atakuwa huru kuolewa iwapo atapenda, na mimi pia nitakuwa huru na maisha yangu.
5) mengine tutayajadili kadri muda utakavyoruhusu.

Kuhusu mimi
1) Kijana Mtanzania miaka 26
2) Mpole, mtanashati
3) Mrefu, mwembamba, mweusi
4) Nimeajiriwa na pia ninamiliki biashara zangu
5) Ninataka niweze kupata mtoto mapema

Asanteni na Karibuni
Ray

Umesahau kipengele kimoja, muhusika atalipwa dollar ngapi kwa kazi hii?
 
Miaka 26 ni umri unakuruhusu kuoa kabisa ikizingatia unasema una kazi na biashara zako. Nakushauri uoe ili mtoto atakaye zaliwa apate malezi mazuri ya wazazi wote.

Huyu inaelekea hajapata malezi ya baba na mama ndo mana anatafta mtu wa kuzaa nae tu ili aitwe baba, sio kosa lake kwani hajui utamu wa kuishi na wazazi wote wawili. Mi namtakiaa mafanikio katika hitaji lake
 
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.

Ningependa mhusika awe na sifa zifuatazo
1) Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato
2) Dini yeyote, kabila lolote. Ila asiwe extremist
3) awe tayari kuzaa bila kuhusisha mambo ya kuoana.
4) Umri kuanzia miaka 25 mpaka 32.

Terms & Conditions
*** Vipimo vyote vya afya vitachukuliwa ili kujiridhisha kuhusu usalama wetu na wa mtoto wetu pia.
1) Nitagharamia kwa 100% matunzo yote ya mtoto kuanzia mimba, kuzaa mpaka malezi. pale nitakapokwama ndipo atakuwa ananisaidia.
2) Awe tayari kuruhusu vipimo vya DNA in case any doubt arise.
3) Kwenye kadi ya Klinik nitambulike kama baba wa mtoto tangu mwanzoni kabisa
4) No ndoa attached, atakuwa huru kuolewa iwapo atapenda, na mimi pia nitakuwa huru na maisha yangu.
5) mengine tutayajadili kadri muda utakavyoruhusu.

Kuhusu mimi
1) Kijana Mtanzania miaka 26
2) Mpole, mtanashati
3) Mrefu, mwembamba, mweusi
4) Nimeajiriwa na pia ninamiliki biashara zangu
5) Ninataka niweze kupata mtoto mapema

Asanteni na Karibuni
Ray

Ni nzuri na nimeipenda.........lakini kwa TZ itakupa shida kumpata mwanamke wa hivo!!
wanawake wengi wakibongo wanaamini kuwa akizaa nyumbani ndo mwisho wake wa kuolewa!
 
Aliyekwambia ng'ombe mzee hana maini ni nani??

Au unadhani utamu wa maini ya ng'ombe mzee umechujuka??

Kongosho hawa vijana wa KAWAMBWA watakuchemsha kichwa...yaani kamtukana hadi mama yake kuona wanawake ni kama ng'ombe au mbuzi...Nasema hivi kwani kijijini kwetu wanaazimishana ili amzalie mwazimaji ndama then akizaa tena anapewa mwenye Ng'ombe au mbuzi...shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit kameniuzi kweli haka kadogo.
 
Asante sana......nini kuanza kutafutana kipato, dini, no string attached na kadhalika?

Nashukuru ameeleweka, huyu anataka mengine kabisaaaaaaaaaaaa anasingizia anatafuta mtoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom