Yaani huyu hata hajui maisha ninini Mungu wangu. embu msaidieni, anyway kama shida ni mtoto anaweza akaenda kuadopt kwenye vituo wako wachanga kibao aache ununda hapa
Mkuu, jigijigi vipi, utalipia au utafaidi dezo? Maana jigijigi na mtoto ni mambo mawili tofauti. Mtu anaweza kupata mtoto bila jigijigi.
Huyo mdada akipata 'uhitaji' wakati huo wa ujauzito itakuwaje kweli, utakuwepo kumtimizia? Au itabidi atafute 'jakubumba' ajikidhi mwenyewe?
UMK, kny wadada wa jf.