Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

1) Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato
..........................................................
Ray

Sidhani kama hii ni sifa muhimu sana ya kuzaa, mi nilidhani utasema lazima awe amevunja ungo nakadhalika
 
Tatizo ni kumpata mwanamke mwenye vigezo vyote vya kuwa mke, huko mbeleni nikimpata basi tutaoana.
Hapa najua madada wanakucheka sana kwa bandiko lako hilo lenye mapungufu mengi ya msingi!
1.Hujasema wazi huyo dada akijitokeza utampa bei gani kwa kukubali ombi lako
2.Jipange upya uje na cheki nono na nina uhakika dada zangu hawatajivunga!

Mkono mtupu haulambwi!
 
Wewe hujui maana ya kuwa na mtoto, watoto wanapenda sana kuwaona wazizi wao wakiwa pamoja tangu wakiwa wadogo.
Pia wewe baba unatakiwa kuwa karibu na mtoto wako uone jinsi anavyokua kutoka hatua moja kwenda nyingine, uione ile siku ya kwanza anaanza kutambaa, uione ile siku ya kwanza anaanza kusimama, anaanza kupiga hatua moja ya mguu, siku ya kwanza anatamka neno baba usikie na umtie moyo. Mtoto ababa hawe karibu naye, siyo habari yako unataka mwanamke akuzalie na kukulelea, hujawa tayari kuitwa baba.
 
Kuna wengine mimba huchukua muda mrefu sana kutungwa, huweza kuchukua mwaka na zaidi kutokana na sababu mbalimbali, sijui uko tayari kwa hilo?
 
Tafuta mke, huo ni uzinzi,kutaka kuzaa nje ya ndoa. Aidha mtoto anaweza kuja kukuchukia bila sababu na mategemeo yako ya kaenda mrama. Kumbuka hata watoto wale ambao wako nje ya ndoa hutaman kama wazazi wao wangefunga ndoa.
Unaweza kumpata mwanamke akakuzalia kisha akasepa na baadae ukampata huyo wa vigezo vyako lakini mtoto wako asimkubali kila siku mkawa mnagombana au akasepa na usimwone tena.Oa zinaa inaua na si kila utamaduni ni wa kurithi
 
Umri wangu unatosha kutotoa, si umesema no ndoa attached?
Afu hiyo mimba tutapeana kwa osmosis au? Nikitizama huu ujumbe hapo chini

Beware AIDS Kills..

ndiyo maana nimesma tutafanya vipimo vyote vya afya ili kujiridhisha. ila wewe si mzee sana?
 
Aliyekwambia ng'ombe mzee hana maini ni nani??

Au unadhani utamu wa maini ya ng'ombe mzee umechujuka??

ndiyo maana nimesma tutafanya vipimo vyote vya afya ili kujiridhisha. ila wewe si mzee sana?
 
Wewe lazima utakuwa ni mwanachama wa Wajenzi huru, sio bure.
 
Aliyekwambia wewe ni damu ya babako ni nani? na Unamwamini?

Naona hujasoma maelezo yake vizuri, lakini swala la baba yake limeingiaje hapa? kama unakuwa unaona post haikuhusu chapa mwendo.
 
Aliyekwambia wewe ni damu ya babako ni nani? na Unamwamini?

Naona hujasoma maelezo yake vizuri, lakini swala la baba yake limeingiaje hapa? kama unakuwa unaona post haikuhusu chapa mwendo.
 
Ray - kwani huyo mtoto ni robot? How are you planning to part of his/her life without sharing a 'life' with the child? Kwani kuwa mzazi ni kulipa ada tu? ama kumlisha mtoto? There is more to being a parent - now go back and rethink logically what it is your seeking - remove any sense of selfness , as a child is an individual with separate needs to yours. You want a child, for the sake of having a child, the child might want a father, that not only provides but guides and lead him/her to its future.

Naku tarajia kila la heri - but think again.
 
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.

Ningependa mhusika awe na sifa zifuatazo
1) Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato
2) Dini yeyote, kabila lolote. Ila asiwe extremist
3) awe tayari kuzaa bila kuhusisha mambo ya kuoana.
4) Umri kuanzia miaka 25 mpaka 32.

Terms & Conditions
*** Vipimo vyote vya afya vitachukuliwa ili kujiridhisha kuhusu usalama wetu na wa mtoto wetu pia.
1) Nitagharamia kwa 100% matunzo yote ya mtoto kuanzia mimba, kuzaa mpaka malezi. pale nitakapokwama ndipo atakuwa ananisaidia.
2) Awe tayari kuruhusu vipimo vya DNA in case any doubt arise.
3) Kwenye kadi ya Klinik nitambulike kama baba wa mtoto tangu mwanzoni kabisa
4) No ndoa attached, atakuwa huru kuolewa iwapo atapenda, na mimi pia nitakuwa huru na maisha yangu.
5) mengine tutayajadili kadri muda utakavyoruhusu.

Kuhusu mimi
1) Kijana Mtanzania miaka 26
2) Mpole, mtanashati
3) Mrefu, mwembamba, mweusi
4) Nimeajiriwa na pia ninamiliki biashara zangu
5) Ninataka niweze kupata mtoto mapema

Asanteni na Karibuni
Ray

Ufilauni, unataka kumpa mtoto maisha gani?
Yaani umeona mwanamke ni chombo cha kupakua watoto wa haram?

Miaka 26, sio mingi yaani haujakomaa akili wewe, na haujui nini maana ya kuwa mzazi.
Akili zako za kitoto toto, komaa kwanza, japo ufike miaka 35, hapo ndio umri nzuri wa kuwa baba.

Binadam sio kama mnyama, hatotolewi,
 
Tafuta surrogate mother,mlipe akufanyie kazi na atakukabidhi mtoto wako na msijuane milele.

Asante sana......nini kuanza kutafutana kipato, dini, no string attached na kadhalika?
 
Back
Top Bottom