Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mfano mzuriii humuuu humuuu jf wapo wenye kujiheshimu na wasojiheshimu pia wapo wenye akili na virazaaa siunajuaaa hakuna alie mkamilifuuu

Mbona wewe hujaweka sifa zako wadada wakufanyie vetting?
 
Mfano mzuriii humuuu humuuu jf wapo wenye kujiheshimu na wasojiheshimu pia wapo wenye akili na virazaaa siunajuaaa hakuna alie mkamilifuuu

Kwa hivyo vigezo vyake nishajua upo upande gani
 
Mfano mzuriii humuuu humuuu jf wapo wenye kujiheshimu na wasojiheshimu pia wapo wenye akili na virazaaa siunajuaaa hakuna alie mkamilifuuu

Hapana mkuu m nadhan umu wapo ambao wapo kimasihara zaid na wengne wapo serious huwez pima umakin wa mtu umu... #fake id mkuu
 
kwa mashart hayo itabidi uchumba uwe 10 years umchunguze zaidi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom