Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

1.awe mwanamke
2.umri 18 to infinite
3.awe na akili timamu
4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.
5.mrembo majiyakunde na mweupe kias
6.awe natural masuala ya kujichubua asiwe amejaribu kabisa
7.asie mpendaa mawigi
8.awe na elimu zote kuanzia elimu ya shule na elimu ya maishaa usije na ka GpA kako ka 4 point something alaf kuish na watu "F"
9.awapende wifi zake kam anavowapendaa dada zake
10.asitumie mtandao mwingne zaid ya Vodacom Tanzania.

Nb:unavigezo ivyoo ni pm nikufanyie interview

😕😕😕Voda inahusianaje na mapenz yenu
 
Kwel nilweka mashart magum mpaka leo sjapata ?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom