Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,515
- 14,173
Nina uzoefu na sekta hiiDalali kazini...
![]()
Nina uzoefu na sekta hiiDalali kazini...
![]()
Bwana we, huyo dada ndo atakuwa kapata bikra wa kiumeKuandika tu unaogopa hivi daaah, ukiwa na goma live face to face unaweza hata kutongoza???



Na Mimi ugomvi siwezi. Mwambie asitugombanishe huyo 😅😅😅
😂😂 Huyo ni wakike anaona aibuKuandika tu unaogopa hivi daaah, ukiwa na goma live face to face unaweza hata kutongoza???
Tuvunge kwanza asije kwenda kwa Kataa Ndoa bure ..Tukwambie yaliyoko kwenye ndoa
au tuvunge??
Huko hanimuni ni patashika, ni kuzima taa kwanza ndio mtu avueBwana we, huyo dada ndo atakuwa kapata bikra wa kiume![]()
Ni hataree ila wakishajuaaga utamu wanakuwa wajanja sanaHuko hanimuni ni patashika, ni kuzima taa kwanza ndio mtu avue

Wanajanjaruka vibayaNi hataree ila wakishajuaaga utamu wanakuwa wajanja sana![]()
Hataki mambo mengiSimple like that. Unatafuta mchumba utakayefunga nae ndoa



Hizi assist lazima tusherehekee mwaka huu😀😀 ila hadi watoto sasa aah, nipe assist kwa watu wazima wenzangu 3rd floor huko🏃♀️financial services Usije sema siku pendi😀😊
Una nivunja Moyo kabisa, ko kazI yote hamna kitu kabisa 😀🤣.Hizi assist lazima tusherehekee mwaka huu😀😀 ila hadi watoto sasa aah, nipe assist kwa watu wazima wenzangu 3rd floor huko🏃♀️
Mkuu wew ni ME au KE? Na unatafuta mchumba ME au KE?Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
Hadi wewe? Aaah mdogo angu usifike huko endelea kutoa assists tu, nisije nikakudunda bure😀Una nivunja Moyo kabisa, ko kazI yote hamna kitu kabisa 😀🤣.
Halafu utoto huyo vepee, Akati nataka na Mimi kuja😂🏃🏃🏃🏃🏃 financial services
Nakuja na paka wangu😀, halafu Usha sikia ma giant ndo Mimi. So naku piga kwenzi tu🤣Hadi wewe? Aaah mdogo angu usifike huko endelea kutoa assists tu, nisije nikakudunda bure😀