Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,451
- 1,051
hivi ulishapata mwanaume? au ndio walewale wanawake wa dar,miaka 35 mbere zishalala mikorogo kibao anajiona bado binti,dar bana et mchumba anatafutwa kwenye mitandao ya kijamii wakati huku mikoani ni madini yako tu mdomoniSizya wala siitaji kweli muulize kama hata nimemtafuta
Kwanza hana lolote fix Tu huyo
