AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa..
Jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa Love Connect. Hili ni jamvi la Love Connect but inaonekan sasa kama vile linakua la People Connect. Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product.
Kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wa kike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu.
Tips/Dondoo za kuzingatia kabla hujatuma ombi la kutafuta mwenza:

- Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
- Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
- Kama yupo JF please m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi.
- Toa contacts walau e-mail address mana simu utakuwa umepalia makaa..
- Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes.
- Na mengineyo ya muhimu