masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,762
- 16,600
- Thread starter
- #61
All the best and may God bless you.
amina,
All the best and may God bless you.
Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,
SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.
kila la heri masai dada. mie nilimpata wangu humu. usikate tamaa.
Good lucky!!
Poa xana ila kama bado haujapata mi nipo tayari kama hutojal lakini.Naitwa Paul Ellyson Lugiko nina umri wa miaka 24 na elimu yangu ni 4m4 nipo pande za Bariadi/Simiyu.karibu sana mpendwa wangu.
nishampata jamani
hongera masai.[/QUOTEthanx