Natafuta mchumba (wa kiume)

Natafuta mchumba (wa kiume)

Status
Not open for further replies.
sifa zote ninazo ila nina elimu nzuri tu ila sina taaluma ya chuo kikuu,me ni darasa la saba kabla elimu haijachakachuliwa...
 
Hivi unafikiri kwa mtindo huu,utapata mume bora? Au kwa vile unahamu ya kugegedwa daily? Haya kila la-heri dada.

She believe in her instincts y dont u believe on yours?
 
Mimi nilipenda sana kuku pm lakini nina miaka 22.Sawa ngoja niwaache wenye sifa.
 
Ziko degree za kijinga sana. Wewe una degree gani? Halafu kumaliza chuo na 23 naona hesabu zinagoma!!!
 
Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,

SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.

Ila kwa kifupi mimi ni mrefu, model like, maji ya kunde na kabila langu masai.

Nina miaka 23 kwahiyo mtu mwenye 26 kwenda juu atakuwa best.

KARIBU

Njooo kwaaanguu unachotakaa n'takupaaaa ( just singing)
 
Ziko degree za kijinga sana. Wewe una degree gani? Halafu kumaliza chuo na 23 naona hesabu zinagoma!!!

Inawezekana sana tu.mbona mimi nilimaliza na miaka 22, nilianza darasa la kwanza na miaka 6. Piga hesabu
 
Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,

SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.

Ila kwa kifupi mimi ni mrefu, model like, maji ya kunde na kabila langu masai.

Nina miaka 23 kwahiyo mtu mwenye 26 kwenda juu atakuwa best.

KARIBU
karibu sana believe iam arit candidate for the post chec me on 714701868'''''
 
You see!!! Huyu nae msomi? Hawa ndio wasomi wa kijinga nilowakusudia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom