Anatafuta mchumba wa kiume, kwaio anaweza akawa dume huyu?hujasema wewe jinsia gani?
ππππsiku hizi Dunia imechangamka sana kuuliza jinsia ni jambo la msingi
ππππUnaangalia sana movies, mume mtarajiwa ajiandae kugongewa na kina Tall, dark & handsome.
Siku hizi hadi ndume zinatafuta mabwana mkuu. Muuliza swali yupo sahihiBwana Tonny, si kasema anatafuta mchumba wa kiume... Maana yake yeye ni wakike...
Binti una degree, una biashara, uko Dsm jiji kubwa umeshindwa kupata mwanaume wa kukuoa? Umpate humu kulikojaa matapeli? We nia yako ni tofautiNina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
πππππSiku hizi hadi ndume zinatafuta mabwana mkuu. Muuliza swali yupo sahihi
Hawezi kuwa yeye.cheki mtoto huyo msituangushe wakuuπ
View attachment 3374126
Unaangalia sana movies, mume mtarajiwa ajiandae kugongewa na kina Tall, dark & handsome.
Tajiri lini na ww utatoa fursa.?Vijana wa JF mkuje hapaa, kuna fursa yenu adhimu mno.
Changamkieni mali hii. Lol
ππVipodozi apo mtu aje kuongeza mtajiNina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Nyota yake ya leo inasemaje kwanzaππKalibu bhana mm Nina degree ya kulusha vimbola vya masafa marefu
Mie Fursa ilishawahiwa kimya kimyaa, Jimbo lina Mbunge tayari, tena wa kudumu.Tajiri lini na ww utatoa fursa.?
Mie Fursa ilishawahiwa kimya kimyaa, Jimbo lina Mbunge tayari, tena wa kudumu.
Duh, ww ni wa kike au wa kiume?Mie Fursa ilishawahiwa kimya kimyaa, Jimbo lina Mbunge tayari, tena wa kudumu.
ππππππ