your favorite
Member
- Jan 21, 2025
- 10
- 39
Bwana Tonny, si kasema anatafuta mchumba wa kiume... Maana yake yeye ni wakike...Jinsia Yako?
siku hizi Dunia imechangamka sana kuuliza jinsia ni jambo la msingiBwana Tonny, si kasema anatafuta mchumba wa kiume... Maana yake yeye ni wakike...
Huku kwangu kuna MSEBULE, vipi utakufaa?Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Unaangalia sana movies, mume mtarajiwa ajiandae kugongewa na kina Tall, dark & handsome.kuhus apprearance ni muhim
naona unawapasia assist washindwe wenyewe sasa
Inawezekana akawa dumejikeBwana Tonny, si kasema anatafuta mchumba wa kiume... Maana yake yeye ni wakike...