Natafuta Mchumba/Mme

Natafuta Mchumba/Mme

Ameanzia juu sana umri, ni namba tu, hao anaowatafuta unazani atapata kwa umri mtu bado hajaoa labda aliyefiwa na mkewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ashuke kidogo kuanzia kwenye 25..... aone pm itakavyo jaa
 
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati

N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
Njoo pm tuzungumze
 
Je sie tusokuwa na Dini hatuna nafasi?

vp kuhusu tuloishia Darasa la nne la mkoloni ?

Hakunaga kasecond selectin? akikosekana wa chuo
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
same as me kska
 
Kila la kheri. Ila usisahau kuwa mwangalifu.
 
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati

N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
Inawezekana kabisa ila kesi iko kwenye kubaini nan anafaa.maana maomba yatakuwa mengi sana.
 
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati

N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
Din?
 
Aisee dada una bahati sawa na kuokota nyumba.
Ngoja nije private kabisa maana fursa haziji mara mbili jamani Mungu anipe nini
 
Back
Top Bottom