Natafuta Mchumba/Mme

Natafuta Mchumba/Mme

Kwa vgezo hvyo umenpata,
Ila sasa ww ni mzaliwa wa mkoa gan?
Maana usije ukawa dadangu,
Naogopa kukufuata pm
 
OK, niko interested, naomba contact zako tuwasiliane vizuri
 
Haya maajabu uchumba mpaka elimu kunakusolve magazijuto huko? Me vigezo vyako ninavyo BT je wewe vigezo vyangu unavyo? Au ndio unatafuta kick
Kik Ili? kwani ninakujua hadi nitafute kiki wastaarabu wapo kimya au lazima kucoment
 
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati

N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
We namba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom