- Thread starter
- #61
uwe na amani ndugu labda ntakusaidia kufuta mkopo hahahaHapo sawa niliogopa tusije kudaiwa zaidi ya Mil. 20
uwe na amani ndugu labda ntakusaidia kufuta mkopo hahahaHapo sawa niliogopa tusije kudaiwa zaidi ya Mil. 20
Wewe una elimu gani?Kik Ili? kwani ninakujua hadi nitafute kiki wastaarabu wapo kimya au lazima kucoment
SIO KWELILadies jueni kua binadamu wa miaka 30/ 40 huyo hawezi kua single unless ni mjane, single father au ni mzee kijana.
Kama si chochote kati ya nilivyoainisha hapo huyo jamaa ni mume wa mtu na anataka kukuzingua.
Haya andika kuanzia miaka 25 nije pm.
Utapata tuu...asante
Una maana gani? Au unamuangalia le mutuz kama sample yako?SIO KWELI
Ukitaka kutafuta anzia na pm kwangu tuone kama unaweza kupata.Ukimpata nistue na mimi nianze kutafuta.
Mimi nina miaka 46 mrembo na niko single, vipi sifai kukufuata PM??Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati
N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
Hapo chacha, tulio ishia Darasa 7/form four tutaisoma nambaJe sie tusokuwa na Dini hatuna nafasi?
vp kuhusu tuloishia Darasa la nne la mkoloni ?
Hakunaga kasecond selectin? akikosekana wa chuo
![]()
![]()
![]()
![]()
umeona eeee Dah acha tuHapo chacha, tulio ishia Darasa 7/form four tutaisoma namba
Bado mbichi, hilo sharti la umri rekebishaKik Ili? kwani ninakujua hadi nitafute kiki wastaarabu wapo kimya au lazima kucoment
Ugumu unasababishwa na nini?Kama haumjui itakua ngumu kukuelekeza mtu mwenyewe
pesa jeNi Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati
N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
Ni maarufu insta.Ugumu unasababishwa na nini?
Huyo si mtu maarufu?
What's her/his career.
Vipi mkuu Millisi: haujafikilia kupunguza umri na Elimu??hahaha poleeee
Sawa mkuuNi maarufu insta.
Ni member humu tangu 2009.
Humu jf kuna nyuzi mbili zilikua zinamuongelea mchana nzima, haujaziona.
Career yake ni blogger.
Kama sehemu zote hizo haujamuona hapo nashindwa nikuelekezeje.
na acha me name nitafuteAsanteni nimefanikiwa