Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
Mmenikumbusha ishu ya yule Dada pilot natamani anipe mrejesho mnaendeleaje? Alitafuta mchumba humu akazinguliwa baadae ya kujua ni pilot wakaanza kumtamani tena.
naludia tena bikra ipo au umisha kuwa used tuanzie hapa tena.....????heshima ichukue mkondo wake
na mimi nataka kapicha rafikimmmh picha hapana ntakupa private rafiki
Hahahaha tukutane inboxuwe na amani ndugu labda ntakusaidia kufuta mkopo hahaha
niko hapa mrembo umri wangu 32ujapata hadi Leo.mkuu?
hawajaadimika wapi wengi saanaNi kweli wanaume wameadimika kiasi hichi?
ThanxKila la kheri
hahahahahahaMmenikumbusha ishu ya yule Dada pilot natamani anipe mrejesho mnaendeleaje? Alitafuta mchumba humu akazinguliwa baadae ya kujua ni pilot wakaanza kumtamani tena.
haya nisubiri hapohapo mkuu nakuja ....tunza papuchiniko hapa mrembo umri wangu 32
WapoLadies jueni kua binadamu wa miaka 30/ 40 huyo hawezi kua single unless ni mjane, single father au ni mzee kijana.
Kama si chochote kati ya nilivyoainisha hapo huyo jamaa ni mume wa mtu na anataka kukuzingua.
Haya andika kuanzia miaka 25 nije pm.
Haitakuja itokeeWapo
Mmenikumbusha ishu ya yule Dada pilot natamani anipe mrejesho mnaendeleaje? Alitafuta mchumba humu akazinguliwa baadae ya kujua ni pilot wakaanza kumtamani tena.
usiwashtue wajuao wadada wa humu wote ni goal diggers 