uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,350
- 1,098
hata mimi hapa huwa pananitatiza sana je ni kuokoka , kujiokoa ama kumuabudu yesu na kuwapenda wenzako au kufuata amri kumi za mungu au ni kupiga kelele kanisani na nyumbani i dont knowKuokoka ni kuwa vipi mkuu???? Tafadhali nielekeze