ni four nzuri.hiyo ni division four ama three?
ni four nzuri.
Mbona kila kitu kinajieleza jamani, mnatakaje? Mjomba kuwa na gari maana yake baadhi ya siku mnaweza kuwa mnalitumia sio kama lile la ofisini ambalo ndugu hawaruhusiwi kuligusa. Mjomba amepewa hela ina maan anaweza kumpa kijana kiasi hivyo hela za kutumia sio shida angalau kwa kuanzia, msichana aliyefaulu vizuri ni rahisi kupata kazi na kusapoti life baada ya hela za mjomba kuisha.
Palipo nichanganya ni pale pa "...wa chuo ni mpaka nimwulize mjomba...". Duh! JF isingekuwepo tungefanyaje jamani! Unatoka ofisi umechoka zako unaingia JF unacheka unalala, kesho maisha yanaendelea na JF inazidi kuwa burudani.
Mkuu jipange kwanza kimaisha, hapa Dar ndio kwanza una miezi miwili na unaishi kwa mjomba aliyestaafu.
Mbona kila kitu kinajieleza jamani, mnatakaje? Mjomba kuwa na gari maana yake baadhi ya siku mnaweza kuwa mnalitumia sio kama lile la ofisini ambalo ndugu hawaruhusiwi kuligusa. Mjomba amepewa hela ina maan anaweza kumpa kijana kiasi hivyo hela za kutumia sio shida angalau kwa kuanzia, msichana aliyefaulu vizuri ni rahisi kupata kazi na kusapoti life baada ya hela za mjomba kuisha.
Palipo nichanganya ni pale pa "...wa chuo ni mpaka nimwulize mjomba...". Duh! JF isingekuwepo tungefanyaje jamani! Unatoka ofisi umechoka zako unaingia JF unacheka unalala, kesho maisha yanaendelea na JF inazidi kuwa burudani.
hehehe, asante kwa kunielewesha manake nilishakuwa confyuzed hapa. Sasa pata picha una kampwa hapo kanakula ugali wa shkamoo, kanakuuliza ankal kuna mdada kanipm ila ana digirii tatu anataka kuwa mchumba wangu, nikubaliiii?
kama hujavua viatu bado unaweza kumkimbiza hadi stendi unajua? vivulana vya siku hizi akili matope kabisa
kiukweli kuna muda nilijua mtu anajoke ,lakini kadiri nilivokuwa nasoma walahi jamaaa anamaanisha nyie!kha!ahahahahhahhahahhaa watu8 my dear hebu njoo ujionee mijimambo huku!

Ukimsoma vizuri, mstari kwa mstari na ukaifikiria tone ya sauti yake utajua jamaa anamaanisha kabisa. Hawa watu wapo, na si ajabu shule alikataa kusoma ila yeye anataka msomi.
Hivi umesema unataka kuoa au kuolewa?
Ndugu mjini kwenyewe umeletwa, hata bahari hujui ilipo...