Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

Mansakankanmusa kwa masharti yako hayo yasiyo na utu utaishia kuoa kuku badala ya mke
 
Nakuombea fanaka na umpate ubani wa roho yako. Ila uwe makini maana si kila ving'aavyo ni dhahabu. Najua humu kuna wasela kibao watakupa tenda utulie.
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005
 
user-offline.png
Janerose

Today 13:21
#1
Junior Member Array


Join Date : 28th December 2012
Posts : 1

Rep Power : 0

Likes Received
0

Likes Given
0


Ndio hivyo kaja tafuta mume
 
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005

corner bar pale kuna waowaji wengi sana nenda utapata bahati yako
 
Mume bora anatoka kwa "MUNGU" hatoki jamii forum, Facebook, tweeter wala BBM!!
 
soma achana na mapenzi wewe bado mdogo sana kuolewa siyo deal,ila kama unataka mwanaume tuuuupo ila wa kuoa hakuna ni magumashi tupu mdogo wangu
 
weka picha yako mama si unajua hapa reception nayo muhimu kuijua. Ila kumbuka mume wa dhati hapatikani kwa njia hii bali hujileta mwenyewe.
Angalia ndoa za siku hizi a.k.a bigijii zinavyovunjika

ucjfanye we ndo unajua kushauri
 
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005
Mungu anipe nini tena mke mwema huyu hapa kajileta mwenyewe, asante mungu naomba uendelee kutuletea wengine tele kama ulivyomleta huyu hapa Jf,amen
 
yani mtaaani, kwenu, skuli, ofisini kwenye mabasi, stand za basi kote huko hakuna wa kukuoa ndo unakuja kutafuta huku..by the way..TAFUTA tu...
 
hahahahah mgonjwa huyu....amuumbe wa kwake afu amtumie hivo ka mdoli....

nilijua mtakuja , lkn huo ni msimamo wangu, sina njia nyingine..

ca kunishangaza wasichn wapo kibao wangependa niwe nao, lkn wengi hawasifa nnayotaka, wachache wanazo, na wapo tayar, sasa mkuu ukibisha unabisha na nani? kwa ajili gani,
 
Mansakankanmusa kwa masharti yako hayo yasiyo na utu utaishia kuoa kuku badala ya mke

dada yangu mkuu SECRETARY, umenichekesha, wadada wapo wengi na huwezi amini wapo ambao wanahitaji masharti, sio utu, ni mfumo. nimesema hata nchii hii itataka rais mwenye amri kama hizi
 
Yaani wewe Janerose umejiunga leo hapa JF na una miaka 23 na unataka mchumba wa kukuoa,are you serious???? Kirahis rahis tu hivyo???? Subiri watakuja wengi tu hapa!!!!!!

Maisha magumu. Siku hizi wanawake wengi wanaonekana wakilazimisha mahusiano ili wapate saidiwa na kupunguza ugumu wa maisha kama ndio suluhu pekee. Wakati wanaume wengi hali zao kiuchumi ni tete hivyo wanakuwa makini na wasichana wanaowachagua kuwa wenza wao. And sometimes viceversa holds true...!
What a game.? Full kuviziana
 
wewe kweli ni mwehu unajiunga leo na kuanza kutafuta mchumba.Fikiria zaidi na utulie.Post yako tu ya kwanza natafuta mchumba!!!!!!!!
Unafahamu kitu kinaitwa multiple Id's? Huyu
kwa taarifa yako ni mwenyeji, atakuwa na Id nyingine kwa mambo mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom