Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

Na sifa zako je!,unaelimu gani! Unajishughulisha na nini!,na huyo unaemhitaji utakaa naye kwa mda gani before married!! Uoni kuwa hapa ni sawa unacheza BAHATI NASSIBU!
 
jf inaraha zake na karaha zake pia.nilitegemea angepata ushauri mzuri wa kumsaidia lakini naona kina chimbuvu wameshaingia hapa nibalaatupu.umri sio mdogo kwakuolewa pia kwenye elimu nisawa lakini ijulikane pia vipato vinatofautiana huwezi jua uwezo wake kimaisha.pia yako mambo meng yanayopelekea mt kutamani aolewe.japo hajaweka vigezo lakini pia angeweka musingekosa lakusema.namshauri avumilie mungu atampa anachohitaji muombe mungu sana.
 
jf inaraha zake na karaha zake pia.nilitegemea angepata ushauri mzuri wa kumsaidia lakini naona kina chimbuvu wameshaingia hapa nibalaatupu.umri sio mdogo kwakuolewa pia kwenye elimu nisawa lakini ijulikane pia vipato vinatofautiana huwezi jua uwezo wake kimaisha.pia yako mambo meng yanayopelekea mt kutamani aolewe.japo hajaweka vigezo lakini pia angeweka musingekosa lakusema.namshauri avumilie mungu atampa anachohitaji muombe mungu sana.

Tatizo ukishaweka matangazo watu watadhani unamatatizo flan ukizingatia huyu umri wake bado mdogo. Mwishowe atapata watu wa kumrubuni wakishamega tunda wanasepa.
 
Post yako ya kwanza tu JF na kuomba uchumba,Kweli umetumwa kutafuta mme.Karibu.
 
Hivi mume mwema anatoka kwa bwana ama mume mwema anatoka jf?hahahahahahahahahahahaha



jf inaraha zake na karaha zake pia.nilitegemea angepata ushauri mzuri wa kumsaidia lakini naona kina chimbuvu wameshaingia hapa nibalaatupu.umri sio mdogo kwakuolewa pia kwenye elimu nisawa lakini ijulikane pia vipato vinatofautiana huwezi jua uwezo wake kimaisha.pia yako mambo meng yanayopelekea mt kutamani aolewe.japo hajaweka vigezo lakini pia angeweka musingekosa lakusema.namshauri avumilie mungu atampa anachohitaji muombe mungu sana.
 
Wewe huo umiri wako bado mdogo sana. Kazania elimu kwanza. Hakuna waoaji siku hizi. Watakuletea majeraha bure.

heshima yako mkuu, sasa mzee binti akitaka kuolewa usimkataze muulize tu sababu umshauri coz anaweza akaleta mimba home na baba asijulikane
 
Meseji wala PM hujibu we mpenzi jini nn?
 
Kweli TzAjira ngumu serikali ilitazame kwa makini hili bom la sivyo litaripuka muda si mrefu.Unajua hata usaliti umezidi kwenye mahhusiano,ugomvi kwenye familia unaongezeka,mtaani umalaya umekithili,watumia madawa ya kulevya wanaongezeka kwa SABAU NI UKOSEFU WA AJIRA.
 
ndoa si juu ya binaadamu kuamua. Haiko kabisa kwenye uwezo wetu. Ni mungu tu ajuae. Wewe tafuta wa kufanya naye maombi ya ndoa tu. Utanikumbuka


petro nimeipenda hii na ikikuta unayemwomba mfanye nae maombi anakutaka ...??
 
hata raha ya sex hujaipata miaka 23 ni sawa umesex miaka kumi au pungufu, uke bado haujakomaa na raha ya mpini bado ndio kwanza umeanza kuipata, tanua kama miaka miwili, kuna 25 omba ndoa,

ikiwezekana njoo na thread inayosema ILI UPATE MUME MWEMA omba mbinu, miaka miwili itakutosha kupata mume.

NB K kiukweli waoaji tumejaa, Tatizo wanawake wavivu mnataka mkae mabarazani na kusuka, wanaume tumechoka kuona mnamegwa kisa hela, wew hakikisha unakazi hata ya kuuza genge, kazi ya kusaidiana kujenga familia ndio mpango. Hakikisha unakuwa msafi muda wote, jiheshimu, heshimu watu rika zote, uwe na huruma na watu wote, isiwe huruma ya kutoa K kwa wanaume, usiruhusu kutongozwa au kumpa nafasi mwanaume akugusie sex, fanya kazi, ndio suala la msingi...hakikisha unajipenda,

NAFASI: utapata mwanaume kazini kwako, na majirani na jamaa wengine watakao vutiwa nawe,

ILI USIMEGWE: mwanaume asije na nia ya kwenda kwenu eti ili umme Akutafune, na asiende yeye, na usimpe nafasi kukujua undani sana, mfano, hali ya maisha yako, kwenu na shida zenu atakusumbua, usiniambie kila siri zako, usiniambie lkn uniweke wazi yale msingi, ya ndoa au mipango ya ndoa tu.

Mheshimu, mpe heshima yake, hakikisha anakupa heshima inayostahiri. sasa basi kwenu waende wazee wake, kuomba ruhusa kwa ndg zako. kama baba na mama hawapo mjomba, shangazi, kama hawapo kaka...hayo ndio majembe ya kukusimamia wewe. wakina mama msiwe wababaishaji, mnaelewa kila kitu.

mnamegwa kwa kutaka wenyewe.

MIMI nimeramba wanne kwa kuwadanganya ningewaoa, vinginevyo nisinge kula dume.


kubwa zaidi ya yote hakikisha huna maradhi lbda kwa bahati mbaya, narudia labda kwa bahati mbaya


mimi najua nitaoa na nitaoa lkn narudia sitafanya kosa mtu wa kuoa, na kama akileta zake namtema mchana kweupe, siogopi lolote lile, mwanamke lazima anisikilize, ni lazima asilikize sharti zangu 5

1. haji kwangu(kuishi) na mimi nimemuoa, wala haji kujiunga na familia, atakuja kwangu au kwetu akijua kuna masharti, sheria na kanuni lazima zifuatwe.

2. Asije na nguo zake wala sindano wala sahani na kijiko kila kitu kitapatikana kwangu, hata nguo nitamnunulia aache kagaguro yake kwao, watavaa wadogo zake. ni marufuku kuleta chakula kutoka kwenu, asilete hata dagaa.

3. baba angu na mama angu ndio mihimili lazima nikiwa sipo awe kama slave(mtumwa) hakuna mjadala wa maamuzi
lazima awe msikivu na muaminifu na ajue sitajuja kulala kwao hata kutokee kitu kikubwa zaidi ya dunia. hatatakiwa kilala kwao daima dumu. kwa kifupi kwao ni kwetu full stop.

4. Akiwa yeye na familia yetu( mimi na watoto wetu) ndugu zake au ndgu zangu awe ndiye kiongozi na aamue ratioally, kama anadgree 2,3 au 4 ni zake kwangu mimi hazitumiki

5. mwisho awe msafi kuliwa watu wote dumiani, kwa maana nione kinyaa kusex na mwanamke mwingine yoyot yule nikijua wengine wote ni wachafu, kwa hiyo ukiwa mchafu kichapo.

mnaojifanya mnbiishabisha, kwenu, kwangu masharti tu sina njia ya mkato.



yaani kuhusu wanangu ukinizalia masharti hapa ndio balaa, tukiwa kitandani ndio usiseme, kwa kifupi kwangu hakuna kazi ya kuajiriwa, hilo liko wazi mapema sana,,ukiajiriwa nimeoa wa kazi gani sasa.

hata hivyo nikipewa Taifa hili ni siku mbili tu, tanzania inabadilika, kwa sabb naanza kufunga mipaka, nahisi nitakuwa kama mfalme msati, na raisi wa korea ya kkaskzn, yaani balaa tupu.

watanzania mtakuwa mnakimbia mchakamchaka kila siku asubuhi, nchi hii itanjooka, nitapendekeza kufanya kazi usiku na mchana.

gfsonwin
Ciello
lara 1
mwaJ
Kongosho
BADILI TABIA
King'asti
AshaDii mmemuelewa huyu??
Yaani nimejikuta nacheka mwanzo mwisho looo
 
Last edited by a moderator:
KAMA KWELI UMETUMWA NA MUNGU KUTAFUTA MCHUMBA HUMU BASI MUNGU AKUEWEZESHE KUYAWEZA HAYA

Ujuzi katika Ndoa



Kama wewe ni kizazi cha Adam na Hawa basi suala la ndoa linakuhusu sana na ndoa ni kitu beautiful, Kwani huleta mahusiano ya kutosheleza yanayowaunganisha watu wawili mke na mume.Inapendeza kwamba Mungu amemuumba mtu maalumu kwa ajili yako.10.
UJUZI WA KUTATUA MATATIZO
Kama wanandoa hawana ujuzi wa kutatua matatizo inaweza kusababisha ndoa kuwa ngumu sana hasa miaka 2 ya kwanza katika ndoa.Kuwa na ujuzi namna ya kutatua matatizo katika ndoa ni kufahamu namna ya kuzozana kwa kuelezana ukweli kwa upendo, kufahamu ni wakati gani wa kukaa kimya au kuzungumza.

9. UJUZI WA KUMWEKA MWENZI WAKO NAMBA MOJA
Kumbuka katika ndoa kuna wewe, mwenzi wako na Mungu.Jambo la msingi ni uhusiano wako na Mungu wako (siyo kazi ya Mungu, au kwenda kanisani bali uhusiano wako na Mungu, then mwenzi wako (mume au mke) ndipo wanakuja watoto na mwisho kazi.Kama mke wako anafuata baada ya watoto, mama yako au baba yako au ndugu zako au rafiki zako au TV au Manchester United au chochote kile basi ndoa yako haina jipya na ipo siku mwenzi wako ataona hana maana katika ndoa yenu.
8. UJUZI WA KIMAISHA
Ni muhimu sana kila mwanandoa kufanya vitu ambacho vitakuwa msingi wa maisha ya baadae (future) pia kila mwanandoa analo jukumu la kujiuliza ni namna gani anaweza kuwa mwanandoa mwema miaka 10 au 20 ijayo.Kila mwanandoa analojukumu la kujiuliza nifanye vitu gani ili niwe mwenye mvuto hata miaka 10 ijayo.Je, niende shule?Je, nianzishe biashara?Je, nifanyeje kumpa support mwenzi wangu katika kazi zake au taaluma yake?

7. UJUZI WA KUSAMEHEANA
Unapokuwa kwenye uchumba, mchumba akifanya kitu cha ajabu unaweza ukaachana naye na kumsahau kabisa, hata hivyo kwenye ndoa unatakiwa kusamehe na kusahau sasa hivi.Mwenzi wako anapofanya kitu na kujiona amekosea, atakuomba msamaha Kwani ni kweli yeye ni binadamu na ana mapungufu na hayupo sahihi mara zote.Muda ule ambao unakuwa hutaki kusamehe mahusiano huacha kukua na hudumaa.Kama huna uwezo/moyo wa kusamehe basi kwenye ndoa usiingie; jibakie single milele.

6. UJUZI WA KUWA MBUNIFU
Kwenye ndoa tunaishi pamoja na kuonana kila siku, tunalala pamoja, kula pamoja, oga pamoja nk.
Bila kuwa mbunifu kuwa na “fun stuff” ndoa huzoeleka na kuchosha.Tafuta vitu ambavyo mkifanya pamoja vitawafanya kuwa na kitu kipya.Wapo wanandoa ambao akioa au kuolewa basi Hakuna jipya, Hakuna ubunifu kila mwaka vitu ni vilevile, badilika fanya vitu Tofauti kama hujawahi kwenda sehemu fulani nenda na mkeo au mumeo, have fun!

5. UJUZI WA MTAZAMO CHANYA
Jifunze kuwa na mitazamo chanya kwenye tabia za mwenzi wako. Ni kweli kuna vitu unavipenda kuhusu yeye na kuna vitu ambavyo unavichukia kuhusu yeye, hata hivyo ukweli ni kwamba vitu vizuri unavyovipenda kuhusu yeye ndivyo vimekufanya uoane naye na kwamba vina nguvu kuliko vile ambavyo huvipendi kuhusu yeye.
Weka mtazamo (focus) kwenye vile vitu ambavyo vinawafanya ninyi wawili kuwa kitu kimoja.Ukimnyoshea kidole kimoja mwenzi wako, basi unatakiwa kujinyoshea vidole 5 wewe mwenyewe.

4. UJUZI WA KUJIAMINI
Lazima uamini kwamba ndoa yenu itadumu na Hakuna kitu kinaitwa talaka na talaka haitakubalika.Ni muhimu sana ujiamini kwamba mwenzi wako ( mume wako au mke wako) anakipenda sana kama wewe unavyompenda yeye hata kama haoneshi kwamba anakipenda.Fahamu hivyo na amini hivyo.Kwa njia hii huwezi kuyumbishwa na upepo wa mashaka na hofu wakati kunajitokeza kutoelewana.Kwa njia hii itakuwa rahisi kuirudisha ndoa kwenye mstari.

3. UJUZI WA KUJIFUNZA
Wakati mwingine katika ndoa huwa tunajidanganya sana kwamba tunawafahamu vizuri wenzi wetu hata hivyo baada ya muda tunaanza kushangaa na kujiona tumeoana na mtu ambaye amebadilika sana na Tofauti na wakati ule mnaoana.Hata hivyo kujisikia mume wako au mke wako amebadilia na kuwa binadamua mwingine si Sababu ya kuachana au kupeana talaka.Kama huna ujuzi wa kumsoma au kujifunza kuhusu mwenzi wako basi hukutakiwa kuoa au kuolewa au hukustahili kuoa au kuolewa naye.

2. UJUZI WA KUJUA NAMNA WENGINE WANAWAONA/WANAJIFUNZA

Kama umeoa au kuolewa na unajifanya hujaoa au kuolewa ni kweli dunia na viumbe wake wanakuona ni kweli hujaoa au kuolewa pamoja na umri wako kwenda.
Unatakiwa kuonekana wewe na mwenzi wako ni watu wenye furaha na amani na kweli iwe furaha na amani ya kweli siyo fake.Mnatakiwa kuwa na smile la kweli na liwe na kweli si fake.Lazima uwe makini na kufahamu wengine wanawaonaje kama wanandoa na hiyo itakusaidia kujiweka sawa kuhakikisha kunakuwa na kicheko katika ndoa yenu.
 
weka picha yako mama si unajua hapa reception nayo muhimu kuijua. Ila kumbuka mume wa dhati hapatikani kwa njia hii bali hujileta mwenyewe.
Angalia ndoa za siku hizi a.k.a bigijii zinavyovunjika

Copy kwa sweetlady...
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni msichana natafuta
mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu,
mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili
anitafute0786730005

unataka kuoa labda we mwenyewe, maana mh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom