Natafuta matango pori(KARELA)

Natafuta matango pori(KARELA)

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.
 
click hapo uyaone kama huyafaham matango pori.
google.com/images?q=karela&client=ms-opera-mini-android&channel=new&gws_rd=cr&hl=en&sa=X&oi=image_result_group&ei=swEXVNXxCo7qONXDgPgC&ved=0CAsQsAQ
 
thread yako, ungeiweka kwenye matangazo madongo madongo.
 
kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.

Mkuu Kwa Sasa Matango Pori Huwezi Kuyapata Mara Nyingi Yanakuwepo Mwezi Wa 3 Hadi Wa 6 Kwa Huku Kwetu NYALULAND Sijui Kwa Wengine
 
click hapo uyaone kama huyafaham matango pori.
google.com/images?q=karela&client=ms-opera-mini-android&channel=new&gws_rd=cr&hl=en&sa=X&oi=image_result_group&ei=swEXVNXxCo7qONXDgPgC&ved=0CAsQsAQ

Mkuu Hii Link Yako Hata Haifunguki Ipange Vizuri.
 
kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.

images
 
Mkuu Kwa Sasa Matango Pori Huwezi Kuyapata Mara Nyingi Yanakuwepo Mwezi Wa 3 Hadi Wa 6 Kwa Huku Kwetu NYALULAND Sijui Kwa Wengine

Gosh! what can i do? labda yapo ya akiba ndugu zangu nisaidieni tafadhali
 
Mkuu hayo madude tunaletewa zawadi kutoka lushoto kijiji kinaitwa lukozi tena wala hatuyapendi, kama unataka kuagiza huko labda uni pm

Yana kazi gani hayo matango ameline?
Labda inawezekana na wengine tunapaswa kuyahitaji ila bado hatujajua.
Hebu tufumbue macho na sisi wengine Mdau.
 
Last edited by a moderator:

Ni dawa ya kisukari.ama diabets yana nguvu kubwa ya kushusha sukari iliyojuu kama vile sindano za insulin.badala ya kuchoma zile sindano kila mara bas mgonjwa wako unampa juice ya haya matango na sukar inakua normal ila uaandaji wake ni tofauti kidogo na juice ya kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hayo madude tunaletewa zawadi kutoka lushoto kijiji kinaitwa lukozi tena wala hatuyapendi, kama unataka kuagiza huko labda uni pm

Asante ndugu halati88 nimekupm
 
Ni dawa ya kisukari.ama diabets yana nguvu kubwa ya kushusha sukari iliyojuu kama vile sindano za insulin.badala ya kuchoma zile sindano kila mara bas mgonjwa wako unampa juice ya haya matango na sukar inakua normal ila uaandaji wake ni tofauti kidogo na juice ya kawaida.

Hii ni habari njema Mdau..
Nina imani wapo wadau watakaoifurahia hii habari.
Nikikutana nayo kwenye mishemishe zangu nitakujulisha Bandugu.
 
Huku kwetu yapo mengi sana ila msimu ndo umeshapita,
 
Back
Top Bottom