guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,255
- 2,074
Wakuu habari.
Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo ningependelea masoko yale naweza kwenda nunua tani kazaa na kusafirisha
Mfano:
Dodoma - Kibaigwa
Ningependelea mikoa ya kusini na kati mfano Ruvuma, Njombe, Mbeya, Iringa, Rukwa, Dodoma, hata Tabora au Shinyanga.