CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Wadau, habari zenu?
Naomba msaada wenu.
Ni wapi naweza kupata maeneo ya kukodi mashamba ya mpunga wanapolima kwa umwagiliaji?
Nataka nipate sehemu ili niwe nalima mara mbili kwa mwaka.
Au ni wapi ninaweza kupata mashamba ya kununua wanapopata sana mpunga?
Na gharama zake zikoje?