Wakiume au kike mie ni "me" pm tafadhari.
Watakuogopa raia, hebu fafanua zaidi, rafiki wa keyboard, halisi, au yupi huyo..........
lengo ni kuwa na rafiki. Awe mzee au kijana Atakae niogopa sio rafiki wa kweli. Ninae mtafuta hapa niwa keybord ya pc na mobile phone ni rafiki wa kawaida tu sio mpenzi .sitaki kuswalishwa maswali wala sitaki kujieleza sana .
wewe ni jinsia gani?
wewe ni jinsia gani?
watu8 jamaa si alisema yeye beberu? au hujainyaka maana ya ME?
daddy naona uzee unakujia vibaya.... hivi ile miwani yako haipo???
hahaha yaani haya macho yananitatiza sana haswa kwenye kupekua jinsia za watu lol...
hahahaaa inabidi nikuletee miwani mpya!!!!
Sasa mbona mkali hivyo kakangu, kuwa mpole marafiki utawapata tu. Ungesema na hobbies zako manake asije akajiombesha urafiki Madame B ukawa wewe ni sheikh ama mchungaji. Utakuwa na kazi ya kumuombea tu.
wewe umesema ni ME,lakini ME ipi?Straight au Gay