Natafuta marafiki.

Sasa mbona mkali hivyo kakangu, kuwa mpole marafiki utawapata tu. Ungesema na hobbies zako manake asije akajiombesha urafiki Madame B ukawa wewe ni sheikh ama mchungaji. Utakuwa na kazi ya kumuombea tu.
hahahahaa dada kwanza naomba uilejeshe avatar yako ya kijeshi jeshi haya yote wewe ndio unaenisababishia kuwa mkali MADAME B wapi jamani

Watakuogopa raia, hebu fafanua zaidi, rafiki wa keyboard, halisi, au yupi huyo..........
atakae niogopa jua huyo si rafiki wa kweli


Duh hiyo blue hapo mie choka kabisa umekuwa mkali hivyo mpaka nimeogopa hata kukutumia PM
dena amsi dada yangu ukiruhusu maswali wataanza oooh! Unapenda kula nini,umeoa au kuolewa,unaingiza sh,ngapi kwa siku,mwezi au kwa mwaka nk nk
watu8 jamaa si alisema yeye beberu? au hujainyaka maana ya ME?
uwiii jamaa yangu anataka kuniangusha tena kwa kuniswalisha swali kama hilo
daddy naona uzee unakujia vibaya.... hivi ile miwani yako haipo???
charminglady utafukuzwa nyumbani kwa kutokuwa na nidhamu ya kumuuliza dady maswali kama hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom